Isaya 57:1
Isaya 57:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mwenye haki hupotea, wala hakuna hata mmoja awazaye hilo moyoni mwake; watu wanaomcha Mungu huondolewa, wala hakuna hata mmoja anayeelewa kuwa wenye haki wameondolewa ili wasipatikane na maovu.
Shirikisha
Soma Isaya 57Isaya 57:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mwadilifu akifa, hakuna mtu anayejali; mtu mwema akifariki, hakuna mtu anayefikiri na kusema: “Mtu huyo mwema ameondolewa asipatwe na maafa
Shirikisha
Soma Isaya 57Isaya 57:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye haki hupotea, wala hakuna atiaye hayo moyoni; na watu watauwa huondolewa, wala hakuna afikiriye ya kuwa mwenye haki ameondolewa asipatikane na mabaya.
Shirikisha
Soma Isaya 57