Isaya 55:6-7
Isaya 55:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtafuteni Mwenyezi-Mungu wakati bado anapatikana, mwombeni msaada wakati yupo bado karibu. Waovu na waache njia zao mbaya, watu wabaya waachane na mawazo yao mabaya; wamrudie Mwenyezi-Mungu apate kuwahurumia, wamwendee Mungu wetu maana atawasamehe.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yuko karibu; Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu; Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
Shirikisha
Soma Isaya 55