Isaya 55:13
Isaya 55:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Badala ya michongoma kutamea misonobari, na badala ya mbigili kutamea mihadasi. Hilo litakuwa jambo litakalowakumbusha watu juu ya mambo niliyotenda mimi Mwenyezi-Mungu; ishara ya milele ambayo haitafutwa.”
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Badala ya michongoma utamea msonobari, Na badala ya mibigili, mhadesi; Jambo hili litakuwa la kumpatia BWANA jina, Litakuwa ishara ya milele isiyokatiliwa mbali.
Shirikisha
Soma Isaya 55