Isaya 52:3
Isaya 52:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nyinyi mliuzwa utumwani bila malipo yoyote, na mtakombolewa bila kulipa hata senti moja.
Shirikisha
Soma Isaya 52Isaya 52:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana BWANA asema hivi, Mliuzwa bure; nanyi mtakombolewa bila fedha.
Shirikisha
Soma Isaya 52