Isaya 52:14
Isaya 52:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Wengi waliomwona walishtuka, kwa vile sura yake ilikuwa imeharibiwa; hakuwa tena na umbo la kibinadamu!
Shirikisha
Soma Isaya 52Isaya 52:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama vile wengi walivyokustaajabia, (uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu yeyote, na umbo lake zaidi ya wanadamu)
Shirikisha
Soma Isaya 52