Isaya 51:4
Isaya 51:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nisikilizeni mimi, enyi watu wangu; nisikieni, taifa langu; maana sheria itatoka kwangu, na kutoa haki yangu iwe nuru ya mataifa.
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:4 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Nisikilizeni, watu wangu; nisikieni, taifa langu: Sheria itatoka kwangu; haki yangu itakuwa nuru kwa mataifa.
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:4 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nisikilizeni enyi watu wangu, nitegeeni sikio enyi taifa langu. Sheria na haki zitatoka kwangu mimi; nazo zitakuwa mwanga wa mataifa.
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nisikilizeni mimi, enyi watu wangu; nisikieni, taifa langu; maana sheria itatoka kwangu, na kutoa haki yangu iwe nuru ya mataifa.
Shirikisha
Soma Isaya 51