Isaya 5:6
Isaya 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitaliacha liharibiwe kabisa, mizabibu yake haitapogolewa wala kupaliliwa. Litaota mbigili na miiba. Tena nitayaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.”
Shirikisha
Soma Isaya 5Isaya 5:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitaliharibu; wala halitapogolewa wala kulimwa, bali litamea mbigili na miiba; nami nitayaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.
Shirikisha
Soma Isaya 5