Isaya 5:13
Isaya 5:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, watu wangu watapelekwa uhamishoni kwa sababu ya utovu wao wa akili. Watu wenu mashuhuri watakufa njaa, watu wengi watakufa kwa kiu.
Shirikisha
Soma Isaya 5Isaya 5:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo watu wangu wamechukuliwa mateka, kwa kukosa kuwa na maarifa; na watu wao wenye cheo wana njaa, na wengi wao waona kiu sana.
Shirikisha
Soma Isaya 5