Isaya 49:5
Isaya 49:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini asema sasa Mwenyezi-Mungu, ambaye aliniita tangu tumboni mwa mama yangu ili nipate kuwa mtumishi wake; nilirudishe taifa la Yakobo kwake, niwakusanye wazawa wa Israeli kwake. Mwenyezi-Mungu amenijalia heshima mbele yake. Mungu wangu amekuwa ndiye nguvu yangu.
Shirikisha
Soma Isaya 49Isaya 49:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na sasa BWANA asema hivi, yeye aliyeniumba tangu tumboni niwe mtumishi wake, ili nimletee Yakobo tena, na Israeli wakusanyike mbele zake tena; (maana mimi nimepata heshima mbele ya macho ya BWANA, na Mungu wangu amekuwa nguvu zangu)
Shirikisha
Soma Isaya 49Isaya 49:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 49