Isaya 49:13
Isaya 49:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Imbeni kwa furaha, enyi mbingu! Shangilia ewe dunia. Pazeni sauti mwimbe enyi milima, maana Mwenyezi-Mungu amewafariji watu wake, naam, atawaonea huruma watu wake wanaoteseka.
Shirikisha
Soma Isaya 49Isaya 49:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi; Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima; Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake, Naye atawahurumia watu wake walioteswa.
Shirikisha
Soma Isaya 49