Isaya 49:10
Isaya 49:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Hawataona tena njaa wala kuwa na kiu. Upepo wa hari wala jua havitawachoma, mimi niliyewahurumia nitawaongoza na kuwapeleka kwenye chemchemi za maji.
Shirikisha
Soma Isaya 49Isaya 49:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hawataona njaa, wala hawataona kiu; joto halitawapiga, wala jua; kwa maana yeye aliyewarehemu atawatangulia, naam, karibu na chemchemi za maji atawaongoza.
Shirikisha
Soma Isaya 49