Isaya 47:3
Isaya 47:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu watauona uchi wako; naam, wataiona aibu yako. Mimi nitalipiza kisasi, wala sitamhurumia yeyote.”
Shirikisha
Soma Isaya 47Isaya 47:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uchi wako utafunuliwa, Naam, aibu yako itaonekana. Nitalipa kisasi; simkubali mtu yeyote.
Shirikisha
Soma Isaya 47