Isaya 46:13
Isaya 46:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ya kuwakomboa naileta karibu, haiko mbali tena; siku ya kuwaokoeni haitachelewa. Nitauokoa mji wa Siyoni, kwa ajili ya Israeli, fahari yangu.
Shirikisha
Soma Isaya 46Isaya 46:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi ninaleta karibu haki yangu, haitakuwa mbali, na wokovu wangu hautakawia; nami nitaweka wokovu katika Sayuni kwa ajili ya Israeli, utukufu wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 46