Isaya 42:8-9
Isaya 42:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake.
Shirikisha
Soma Isaya 42Isaya 42:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Jina langu mimi ni Mwenyezi-Mungu; utukufu wangu sitampa mwingine, wala sifa zangu sanamu za miungu. Tazama, mambo niliyotabiri yametukia; na sasa natangaza mambo mapya, nakueleza hayo kabla hayajatukia.”
Shirikisha
Soma Isaya 42Isaya 42:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Soma Isaya 42