Isaya 42:6
Isaya 42:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi Mwenyezi-Mungu nimekuita kutenda haki, nimekushika mkono na kukulinda. Kwa njia yako nitaweka ahadi na watu wote, wewe utakuwa mwanga wa mataifa.
Shirikisha
Soma Isaya 42Isaya 42:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi, BWANA, nimekuita katika haki, nami nitakushika mkono, na kukulinda, na kukutoa uwe agano la watu, na nuru ya mataifa
Shirikisha
Soma Isaya 42