Isaya 40:8 - Compare All Versions
Isaya 40:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Majani hunyauka na ua hufifia, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.”
Shirikisha
Isaya 40 BHNIsaya 40:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
Shirikisha
Isaya 40 SRUVIsaya 40:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
Shirikisha
Isaya 40 SUVIsaya 40:8 NEN (Neno)
Majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.”
Shirikisha
Isaya 40 NEN