Isaya 40:7-8
Isaya 40:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Majani hunyauka na ua hufifia, Mwenyezi-Mungu avumishapo upepo juu yake. Hakika binadamu ni kama majani. Majani hunyauka na ua hufifia, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.”
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya BWANA yapita juu yake. Hakika watu ni majani. Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya BWANA yapita juu yake. Yakini watu hawa ni majani. Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
Shirikisha
Soma Isaya 40