Isaya 40:4
Isaya 40:4 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kila bonde litainuliwa, kila mlima na kilima kitashushwa; penye mabonde patanyooshwa, napo palipoparuza patasawazishwa.
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipoinuka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila bonde litasawazishwa, kila mlima na kilima vitashushwa; ardhi isiyo sawa itafanywa sawa, mahali pa kuparuza patalainishwa.
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipoinuka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa
Shirikisha
Soma Isaya 40