Isaya 40:11
Isaya 40:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Atalilisha kundi lake kama mchungaji, atawakusanya wanakondoo mikononi mwake, atawabeba kifuani pake, na kondoo wanyonyeshao atawaongoza polepole.
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Atalilisha kundi lake kama mchungaji, Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; Na kuwachukua kifuani mwake, Nao wanyonyeshao atawaongoza polepole.
Shirikisha
Soma Isaya 40