Isaya 40:10
Isaya 40:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana Mungu anakuja na nguvu, kwa mkono wake anatawala. Zawadi yake iko pamoja naye, na tuzo lake analo.
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazameni, Bwana Mungu atakuja kama shujaa, Na mkono wake ndio utakaomtawalia; Tazameni, thawabu yake i pamoja naye, Na fidia yake i mbele zake.
Shirikisha
Soma Isaya 40