Isaya 4:6
Isaya 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Utukufu wake utakuwa kwao kivuli kuwakinga na joto la mchana; na kimbilio na kinga yao wakati wa dhoruba na mvua.
Shirikisha
Soma Isaya 4Isaya 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha kutakuwa na hema kuwa uvuli wakati wa mchana kwa sababu ya joto, na kuwa mahali pa kukimbilia na kujificha wakati wa tufani na mvua.
Shirikisha
Soma Isaya 4