Isaya 36:20
Isaya 36:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika miungu yote ya nchi hizi ni nani waliookoa nchi yao na mkono wangu, hata BWANA auokoe Yerusalemu na mkono wangu?
Shirikisha
Soma Isaya 36Isaya 36:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni nani miongoni mwa miungu ya nchi hizi aliyeokoa nchi zao katika mkono wangu, hata iwe kwamba Mwenyezi-Mungu ataweza kuuokoa mji wa Yerusalemu mkononi mwangu?”
Shirikisha
Soma Isaya 36Isaya 36:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika miungu yote ya nchi hizi ni nani waliookoa nchi yao kutoka kwa mkono wangu, hata BWANA auokoe Yerusalemu kutoka kwa mkono wangu?
Shirikisha
Soma Isaya 36