Isaya 34:16
Isaya 34:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Someni katika kitabu cha Mwenyezi-Mungu: “Hakuna hata kiumbe kimoja kitakachokosekana, kila kimoja kitakuwako na mwenzake.” Maana Mwenyezi-Mungu mwenyewe ametamka hivyo, roho yake itawakusanya hao wote.
Shirikisha
Soma Isaya 34Isaya 34:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tafuteni katika kitabu cha BWANA mkasome; hapana katika hao wote atakayekosa kuwapo, hapana mmoja atakayemkosa mwenzake; kwa maana kinywa changu kimeamuru, na roho yake imewakusanya.
Shirikisha
Soma Isaya 34