Isaya 34:13
Isaya 34:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Miiba itaota katika ngome zake, viwavi na michongoma mabomani mwao. Itakuwa makao ya mbwamwitu, maskani yao mbuni.
Shirikisha
Soma Isaya 34Isaya 34:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Miiba itamea majumbani mwake, upupu na mbigili ndani ya maboma yake; nayo itakuwa kao la mbweha, na ua la mbuni.
Shirikisha
Soma Isaya 34