Isaya 32:8 - Compare All Versions
Isaya 32:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini waungwana hutenda kiungwana, nao hutetea mambo ya kiungwana.
Shirikisha
Isaya 32 BHNIsaya 32:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali mwungwana huwaza mambo ya kiungwana, naye hushika sana mambo ya kiungwana.
Shirikisha
Isaya 32 SUVIsaya 32:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Bali muungwana huwaza mambo ya kiungwana, naye hushika sana mambo ya kiungwana.
Shirikisha
Isaya 32 SRUVIsaya 32:8 NEN (Neno)
Lakini mtu muungwana hufanya mipango ya kiungwana, na kwa matendo ya kiungwana yeye hufanikiwa.
Shirikisha
Isaya 32 NEN