Isaya 27:3
Isaya 27:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi, Mwenyezi-Mungu, ni mkulima wake; nalimwagilia maji kila wakati, ninalilinda usiku na mchana, lisije likaharibiwa na mtu yeyote.
Shirikisha
Soma Isaya 27Isaya 27:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi, BWANA, nililinda, Nitalitia maji kila dakika, Asije mtu akaliharibu; Usiku na mchana nitalilinda.
Shirikisha
Soma Isaya 27