Isaya 27:10
Isaya 27:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mji ule wa ngome sasa umekuwa mtupu, umeachwa na kuhamwa kama jangwa, humo ndama wanalisha na kupumzika.
Shirikisha
Soma Isaya 27Isaya 27:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mji ulio na boma umekuwa peke yake, makao yaliyoachwa na ukiwa kama jangwa; huko ndiko atakakolisha ndama, na huko ndiko atakakolala, na kuyala matawi yake.
Shirikisha
Soma Isaya 27