Isaya 24:14
Isaya 24:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Watakaosalia watapaza sauti, wataimba kwa shangwe. Kutoka magharibi watatangaza ukuu wa Mwenyezi-Mungu
Shirikisha
Soma Isaya 24Isaya 24:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hawa watainua sauti zao, watapiga kelele; kwa sababu ya utukufu wa BWANA watapiga kelele toka baharini.
Shirikisha
Soma Isaya 24