Isaya 23:6
Isaya 23:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Ombolezeni enyi wenyeji wa Foinike! Jaribuni kukimbilia Tarshishi.
Shirikisha
Soma Isaya 23Isaya 23:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Piteni mpaka Tarshishi, enyi mkaao kisiwani, toeni sauti ya uchungu.
Shirikisha
Soma Isaya 23