Isaya 20:4
Isaya 20:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mfalme wa Ashuru atawachukua mateka Wamisri na Wakushi, wakubwa kwa wadogo. Watachukuliwa, nao watatembea uchi na bila viatu; matako wazi, kwa aibu ya Misri.
Shirikisha
Soma Isaya 20Isaya 20:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
vivyo hivyo mfalme wa Ashuru atawachukua uchi, wafungwa wa Misri, na watu wa Kushi waliohamishwa, watoto kwa wazee, bila viatu, matako yao wazi, Misri iaibishwe.
Shirikisha
Soma Isaya 20