Isaya 20:1
Isaya 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Sargoni mfalme wa Ashuru, alimtuma jemadari wake mkuu kuuvamia mji wa Ashdodi. Naye akaushambulia na kuuteka.
Shirikisha
Soma Isaya 20Isaya 20:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika mwaka ule jemadari yule alipofika Ashdodi, alipotumwa na Sargoni mfalme wa Ashuru; naye alipigana na Ashdodi akautwaa
Shirikisha
Soma Isaya 20