Isaya 2:4
Isaya 2:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu atasuluhisha mizozo ya mataifa atakata mashauri ya watu wengi. Watu watafua panga za vita kuwa majembe na mikuki yao kuwa miundu ya kupogolea. Taifa halitapigana na taifa lingine wala hayatafanya tena mazoezi ya vita.
Shirikisha
Soma Isaya 2Isaya 2:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye atafanya hukumu katika mataifa mengi, atawakemea watu wa kabila nyingi; nao watafua panga zao ziwe majembe, na mikuki yao iwe miundu; taifa halitainua upanga juu ya taifa lingine, wala hawatajifunza vita tena kamwe.
Shirikisha
Soma Isaya 2Isaya 2:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 2