Isaya 2:12
Isaya 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, yaja siku ya Mwenyezi-Mungu wa majeshi dhidi ya wenye kiburi na majivuno, dhidi ya wote wanaojikweza
Shirikisha
Soma Isaya 2Isaya 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kutakuwa siku ya BWANA wa majeshi juu ya watu wote wenye kiburi na majivuno, na juu ya yote yaliyoinuka; nayo yatashushwa chini.
Shirikisha
Soma Isaya 2