Isaya 19:4
Isaya 19:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana katili, mfalme mkali ambaye atawatawala. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nimenena.”
Shirikisha
Soma Isaya 19Isaya 19:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawatoa hao Wamisri na kuwatia katika mikono ya bwana mgumu; na mfalme mkali atawatawala; asema Bwana, BWANA wa majeshi.
Shirikisha
Soma Isaya 19