Isaya 19:25
Isaya 19:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi atawabariki na kusema, “Wabarikiwe Wamisri watu wangu, kadhalika na Waashuru ambao ni ishara ya kazi yangu na Waisraeli walio mali yangu.”
Shirikisha
Soma Isaya 19Isaya 19:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa kuwa BWANA wa majeshi amewabariki, akisema, Wabarikiwe watu wangu Misri; na wewe Ashuru, kazi ya mikono yangu; na wewe Israeli, urithi wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 19