Isaya 19:2
Isaya 19:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nitawachochea Wamisri wagongane: Ndugu na ndugu yake, jirani na jirani yake, mji mmoja na mji mwingine, mfalme mmoja na mfalme mwingine.
Shirikisha
Soma Isaya 19Isaya 19:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawaamsha Wamisri juu ya Wamisri; nao watapigana, kila mtu na ndugu yake, na kila mtu na jirani yake, mji juu ya mji, na ufalme juu ya ufalme.
Shirikisha
Soma Isaya 19