Isaya 14:27
Isaya 14:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama Mwenyezi-Mungu wa majeshi ameamua, nani atakayeweza kubatilisha uamuzi wake? Kama amepania kutoa adhabu, ni nani atakayempinga?
Shirikisha
Soma Isaya 14Isaya 14:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana BWANA wa majeshi amekusudia, naye ni nani atakayelibatili? Na mkono wake ulionyoshwa, ni nani atakayeugeuza nyuma?
Shirikisha
Soma Isaya 14