Isaya 13:8
Isaya 13:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu watafadhaika, watashikwa na hofu na maumivu, watakuwa na uchungu kama mama anayejifungua. Watatazamana kwa mashaka, nyuso zao zitawaiva kwa haya.
Shirikisha
Soma Isaya 13Isaya 13:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao watafadhaika; watashikwa na uchungu na maumivu; watakuwa na uchungu kama mwanamke aliye karibu kuzaa; watakodoleana macho; nyuso zao zitakuwa ni nyuso za moto.
Shirikisha
Soma Isaya 13