Isaya 13:16
Isaya 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Watoto wao wachanga watapondwapondwa mbele yao, watanyanganywa nyumba zao, na wake zao watanajisiwa.
Shirikisha
Soma Isaya 13Isaya 13:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watoto wao wachanga watavunjwavunjwa mbele ya macho yao, nyumba zao zitatekwa nyara, na wake zao watanajisiwa.
Shirikisha
Soma Isaya 13