Isaya 12:4
Isaya 12:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku hiyo mtasema: “Mshukuruni Mwenyezi-Mungu mwombeni kwa jina lake. Yajulisheni mataifa matendo yake, tangazeni kuwa jina lake limetukuka.
Shirikisha
Soma Isaya 12Isaya 12:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na katika siku hiyo mtasema, Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake; Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, Litangazeni jina lake kuwa limetukuka.
Shirikisha
Soma Isaya 12