Isaya 12:1
Isaya 12:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika siku ile utasema: “Nitakusifu wewe, Ee BWANA. Ingawa ulinikasirikia, hasira yako imegeukia mbali nawe umenifariji.
Shirikisha
Soma Isaya 12Isaya 12:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku hiyo mtasema: “Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, maana ingawa ulinikasirikia, hasira yako imetulia, nawe umenifariji.
Shirikisha
Soma Isaya 12