Isaya 11:4
Isaya 11:4 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji, kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia. Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu.
Shirikisha
Soma Isaya 11Isaya 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Atawapatia haki watu maskini, atawaamulia sawasawa wanyonge nchini. Kwa neno lake ataiadhibu dunia, kwa tamko lake atawaua waovu.
Shirikisha
Soma Isaya 11Isaya 11:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali kwa haki atawahukumu maskini, naye atawaonya wanyenyekevu wa dunia kwa adili; naye ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, na kwa pumzi ya midomo yake atawaua wabaya.
Shirikisha
Soma Isaya 11