Isaya 11:2
Isaya 11:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Roho ya Mwenyezi-Mungu itakaa kwake, roho ya hekima na maarifa, roho ya shauri jema na nguvu, roho ya ujuzi na ya kumcha Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 11Isaya 11:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Roho ya BWANA itakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya shauri na uweza, roho ya maarifa na ya kumcha BWANA
Shirikisha
Soma Isaya 11