Isaya 10:27
Isaya 10:27 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Katika siku hiyo mzigo wao utainuliwa kutoka mabegani mwenu, na nira yao kutoka shingoni mwenu; nira itavunjwa kwa sababu ya kupakwa mafuta.
Shirikisha
Soma Isaya 10Isaya 10:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo, mzigo waliowabebesha nitauondoa na nira waliyowatia shingoni mwenu itavunjwa.” Adui amepanda kutoka Rimoni
Shirikisha
Soma Isaya 10Isaya 10:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena itakuwa katika siku hiyo mzigo wake utaondoka begani mwako, na nira yake shingoni mwako, nayo nira itaharibiwa, kwa sababu ya kutiwa mafuta.
Shirikisha
Soma Isaya 10