Isaya 1:6
Isaya 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Toka wayo hadi kichwa hamna penye nafuu, umejaa majeraha na vidonda vitoavyo damu, navyo havikuoshwa, kufungwa wala kutiwa mafuta.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Toka wayo wa mguu hadi kichwani hamna uzima ndani yake; bali jeraha na machubuko na vidonda vitokavyo usaha; havikufungwa, havikuzongwazongwa, wala havikulainishwa kwa mafuta.
Shirikisha
Soma Isaya 1