Isaya 1:30-31
Isaya 1:30-31 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtakuwa kama mwaloni unaonyauka majani; kama shamba lisilo na maji. Wenye nguvu watakuwa kama majani makavu, matendo yao yatakuwa kama cheche za moto. Watateketea pamoja na matendo yao, wala hapatakuwa na mtu wa kuwaokoa.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:30-31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mtakuwa kama mwaloni ambao majani yake yakauka, na kama bustani isiyo na maji. Na mtu hodari atakuwa kama makumbi, na kazi yake kama cheche ya moto; nao watawaka pamoja, wala hapana atakayewazima.
Shirikisha
Soma Isaya 1