Isaya 1:21
Isaya 1:21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Tazama jinsi mji uliokuwa mwaminifu umekuwa kahaba! Mwanzoni ulikuwa umejaa unyofu, haki ilikuwa inakaa ndani yake, lakini sasa ni wauaji!
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Jinsi gani mji uliokuwa mwaminifu sasa umegeuka kuwa kahaba! Wakati mmoja haki ilitawala humo, lakini sasa umejaa wauaji.
Shirikisha
Soma Isaya 1