Isaya 1:2
Isaya 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sikilizeni enyi mbingu, tega sikio ee dunia. Mimi nimewalea wanangu wakakua, lakini sasa wameniasi!
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sikieni, enyi mbingu, tega sikio, Ee nchi, kwa maana BWANA amenena; Nimewalisha watoto na kuwalea, nao wameniasi.
Shirikisha
Soma Isaya 1