Isaya 1:14
Isaya 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Sikukuu zenu za mwezi mpya na nyinginezo moyo wangu wazichukia. Zimekuwa mzigo mzito kwangu, nami nimechoka kuzivumilia.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa, nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea; nimechoka kuyachukua.
Shirikisha
Soma Isaya 1