Hosea 9:9
Hosea 9:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mmezama katika uovu, kama ilivyokuwa kule Gibea. Mungu atayakumbuka makosa yao, na kuwaadhibu kwa dhambi zao.
Shirikisha
Soma Hosea 9Hosea 9:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wamejiharibu mno, kama katika siku za Gibea; ataukumbuka uovu wao, atazilipiza dhambi zao.
Shirikisha
Soma Hosea 9